Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam, Toka Februari 2019 aliyekuwa makamu wa Rais wa shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) Michael Richard Wambura alikuwa anashikiliwa na Polisi na kuwa rumande kwa muda wote huo. Wambura alikuwa anashikiliwa kwa makosa 17 ikiwemo kugushi nyaraka, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha wakati akiwa kiongozi wa TFF makosa […]

The post Mahakama imemuachia huru aliyekuwa makamu wa rais wa TFF Wambura appeared first on Soka25east.